Subiria

Blame It On Don

VERSE 1
Moyo wa upole, sina tena wakumuita baby;
Kama kuwa mbali, itafanya nikukose mimi, nanana;
Ushahidi wakushuta;
Harufu basi itabaki kwako;
Maadili mulonipa, ipo;
Afadhali ungekuja ujionee;
Ama tuma picha nipone;
Hata gari kweli lijae vipi;
Dereva hawezi kosa kiti;
Kwani mama Yo my barrister;
My shining star;
My holy life giver;
Papa yo my wisdom guide;
My hero and a soldier man

BRIDGE
Ni venye mupo mbali nami;
Na venye nawamisi yaani;
Na Afrika nitarudi tena;
Na Kenya nitarudi kisha..

CHORUS
Karibuni nitarudi mama, Ngoja
Subiri papa nitarudi nyumbani, Ngoja
I miss you bad, I miss you here, I miss you nana nana nana X2

VERSE 2
Toa wasi wasi, baby [take it X3] easy;
Hebu weka subra, tutaonana kwani nakumisi;
Naona ni mateso every day, wowo;
Kuonana kukicha kwa Facebook nonono;
Ahadi nilokupa nimeiweka, tata;
Mpenzi siskize wa twitter;
Jamani namisi tu home;
Ugali wamuogo na miwa kibao;
Siwezi lenga ukweli, Klassik ni big thing all praises to God;
Forever yo my only hope, my heart and soul;
I miss you my darling;
Namenya niko fiti na u vipi kaka?
I misss you like crazy

BRIDGE
Ni venye mupo mbali nami;
Na venye nawamisi yaani;
Na Afrika nitarudi tena;
Na Kenya nitarudikisha..

CHORUS

Curiosités sur la chanson Subiria de DON SANTO

Quand la chanson “Subiria” a-t-elle été lancée par DON SANTO?
La chanson Subiria a été lancée en 2019, sur l’album “Am BLACK ”.
Qui a composé la chanson “Subiria” de DON SANTO?
La chanson “Subiria” de DON SANTO a été composée par Blame It On Don.

Chansons les plus populaires [artist_preposition] DON SANTO

Autres artistes de