Niongezee

Godwin Peter Lerowi

Waiter naomba niongezee

Nipunguze mawazo niongezee

Leta tena

VERSE 1.

Have you ever fell inlove

Umewai kupenda skia

Ubavu wako wa kushoto ukampa na wa kulia

Ukaweka moyo kwa sahani afu ukampakulia

Ukamwambia yote unayotaka mi nitakufanyia

Nilizama wallahi mauti uniite

Tafuta anapo lala pembeni mimi unizike

Maana nikiwa naye basi kusikuche kesho isifike

Umewahi kuona siku haiendi unasubiri simu iite

Unaanza uliza why ukweli haujai uwongo haufai

Usiku ninakesha ukwapi usingizi hata unisabai

Akili ilihisi moyo haufai moyo ulaghai

Unagundua kuwa all along she lied

Ulizani njiwa kumbe mwewe

Waiter niongeze nataka nilewe

Unaweza pendwa kiasi kwamba ukajjhisi uko mwenyewe

Kumbe kuna wakwanza wapili watatu alafu ndo wewe.

Chorus

Waiter naomba niongezee

Nipunguze mawazo niongezee

Leta tena

Verse 2.

Yeah
Have you ever fell in?

Forget it umewai umizwa

Nje jua kali sa mbona we kwako giza

Hata mwanga ukirudi vivuli we unakimbiza

Unauliza mapenzi uliyakosea nini
yanakuliza

Alafu hupati jibu hivi ndo nini

Moyo unaniadhibu dah hivi una nini

Nyongo mkalia ini mwisho wako kashaubaini

Beki zilikaba zikachomesha dakika ya tisini

She went and broke your heart in two
Kipande cha pili hukioni

Wenzake wakakwambia hauko pekeako tu mko nyomi

Wakakwambia kusoma haujui hata picha huoni

Ila moyoni we unajua hutomsahau hadi shimoni.

Chorus

Pusha naomba ninyongee

Nipunguze mawazo

Nitembezee nyonga tena

Curiosités sur la chanson Niongezee de Dwin

Qui a composé la chanson “Niongezee” de Dwin?
La chanson “Niongezee” de Dwin a été composée par Godwin Peter Lerowi.

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Dwin

Autres artistes de Electronic dance music (EDM)