Pona

Salum Nyangumwe

Leo tupige hadithi
Hadithi nzuri za mapenzi
Tuongee kidogo
Nimeku miss we mpenzi hii
Baby Fanya Hima
Huu upweke unaumiza ahaa
Baby Fanya Haraka
Mwenzako Unaniliza
Nimeku miss sana
We Unajua Mama
Nitumie ka picha mama
Jua umemisika kwa sana
Huwaga nikikuona
Moyo una Pona
Moyo Una pona
Moyo Una pona
Huwaga nikikuona
Moyo una Pona
Moyo Una pona
Moyo Una pona
Huu huu huu
Huu huu huu
Hu hu hu
Huu huu huu
Huu huu huu
Hu hu hu
Najuaga vya haram ,
Vinakuwaga vitamu
Iyaah
Kiukweli we baby ni mtamu
Udambu udambu mwingi
Kelele Sham sham
Homa
Napandwa homa
Kiukweli mama ,Baridi kali nina homa
Haae
Eeh!
Haaee
Eeh!
Haee
Eeh!
Na Ukweli mama ,Hata Ndoto Nakuona
Haae
Eeh!
Haaee
Eeh!
Haee
Eeh!
Huwaga nikikuona
Moyo una Pona
Moyo Una pona
Moyo Una pona
Huwaga nikikuona
Moyo una Pona
Moyo Una pona
Moyo Una pona
Huu huu huu
Huu huu huu
Hu hu hu
Huu huu huu
Huu huu huu
Hu hu hu

Chansons les plus populaires [artist_preposition] GoldEN

Autres artistes de Contemporary R&B