Happy Birthday

Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza)
Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza)
Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwa
Aki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagia
Ah ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
Ah ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema

Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you (ayeye)
Happy birthday to you

Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng'ombe au malewa
Ila usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua
Ah ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
Ah ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema

Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you (ayeye)
Happy birthday to you

Kata keki kata (kata)
oh kata (kata)
kata (kata) kata unilishe
Keki ya jina lako (kata)
walishe na wenzako(Kata)
tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe
Oh basi kata (kata)
oh kata (kata)
Kata nipone (kata)
kata (kata unilishe)
Kata, Kata, Kata, Kata unilishe
Ah na kapicha kako nitakoposti

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Harmonize

Autres artistes de Afrobeats