Sina mali, sina deni (Free)
[Verse 1]
Ahiya, ahiya kwa baraka, mimi napona
Kabisa, ni hajabu sina mwili tena, niko sawa upepo
Mimi masikini, sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege ina cheka kama mtoto
[Chorus]
Ahiya, mam'ahiya (Ooooh)
Sina haja, ya kitu mimi napona
I'm free, kama maji (Aaaah)
Anatembeya mpaka katika pori
[Verse 2]
Mimi, mi masikini (Ooooh)
Sina mali mali, sina deni (Aaaah)
Mali yangu baba ina ota kama maua
Ina pita kama nyota waka kama jua (Jua)
Pole, pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
[Chorus]
I'm free (Ooooh) kama hewa (Ooooh)
Ina ingiya mpaka fasi inapenda (Aaaah)
[Verse 3]
Mimi, ni masikini, sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba (Ooooh)
Ina ona kama macho (Ooooh)
Waka kama moto (Ooooh)
Ina lia kama ngoma
[Chorus]
I'm free (Ooooh) Kama maji (Ooooh)
Ana tempaka mpaka kati ya pori
[Verse 4]
Kama hewa, kama macho (Ooooh)
Kama nyota, kama maji (Ooooh)
Kama mimi leo, mimi napona (Aaaah)
Kama hewa, kama macho (I'm free)
Kama nyota, kama maji (Ay, I'm free)
Kama mimi leo, mimi napona (Ooooh)
[Outro]
Ahiya, mam'ahiya (Aaaah)
Sina mali, Mungu, sina deni