Kwani Kitu Gani!

Patrick Saikong'

Kwani kitu gani
Kwani kitu gani
Maridadi sana chembe haradani imani kuza
Nna utovu kwa kizingiti
Nna utovu kwa kizingiti
Darubiniakisi midadi ya anga kuja
Kuja pita kuona
Shika japo si tuna
Kichwa bado na kuna
Guna na bado fanya ina nina
Na nani nani tena
Chalii kwenda si dema
Heko mwendo unavema
Pema mapema nia inasema

Biti naua ibada si mbali si leo na sisi tutafika huko
Mingi si subra tuta si kita jikita na wapi nipo
Chepe kisha tohoa mwisho mwanzo wazo tokotii
Msongo ni hakuna uoto bila chokonoa
zana kwa ala ukitoa noa
Msimu unawika unachojua
Afrika ina wigo wazaka toa
Ndimi si labda na toba choo
Neno tafsiri na kosha ndo
Ujumbe umefika ubishi wawamba za kero roho
Staha ya hadhira ni heko sio
Sanaa ni kukaa na wakwetu njoo
Mtindo wetu nembo tu

Kwani kitu gani
Kwani kitu gani
Maridadi sana chembe haradani imani kuza
Nna utovu kwa kizingiti
Nna utovu kwa kizingiti
Darubiniakisi midadi ya anga kuja
Kuja pita kuona
Shika japo si tuna
Kichwa bado na kuna
Guna na bado fanya ina nina
Na nani nani tena
Chalii kwenda si dema
Heko mwendo unavema
Pema mapema nia inasema

Ntembelee Sifuri kwa namba au ongeza tena zibaki kwenda zakuja
Bonga na shisha loho toka totoro mchoro wa mwondoko
Sauti gumzo uwezo chanzo nusura uwepo ni kwangu skeli na tungo za nyuso
Kipa na ubora bei ina tangatanga mauzo thamani
Chepe kwa hizo
Nitembee mboni si wenge haina jali wigo mwendo tendo
Dongo ni sitiri mizizi sioshi ndo hizi bongo na njema ni nyota tu
Alfajiri ijiri haina jali kifani finyanga ndo umbo tumo
Kuntu ni wazo muundo ni wetu sepa na nembo huru

Kwani kitu gani
Kwani kitu gani
Maridadi sana chembe haradani imani kuza
Nna utovu kwa kizingiti
Nna utovu kwa kizingiti
Darubiniakisi midadi ya anga kuja
Kuja pita kuona
Shika japo si tuna
Kichwa bado na kuna
Guna na bado fanya ina nina
Na nani nani tena
Chalii kwenda si dema
Heko mwendo unavema
Pema mapema nia inasema

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Kong

Autres artistes de Punk rock