New Couple

#intro
(Mr. LG)

#verse
Ningependa kuona Vanessa na Jux
Mara ghafla ikatokea nuksi
Sikuwaona tena wakatengana
Aslay nilizoea kumuona na Tesi
Katokea mazito sio mepesi

#verse
Wakatengana tena
Nilitegemea kumuona Harmo na Sara wakiendelea
Mambo yamebadilika namwona Kajala ila nawaombea
Mlitegemea Kusah na Ruby wakiendelea
Mambo yamebadilika namwona Aunt Ezekiel
Watoto wanamlea

#chorus
Uh-huh, new couple
Kila siku inazuka new couple
Uh-huh, new couple
Kila siku inazuka new couple

#verse
Nilikuwa nice couple
Harusini ningekuja na zawadi ningetoa, hey
Eti Queen Darleen wamwonea wivu wa nini?
Ukiwa mke wa pili jiamini, yeah
Hmm

#verse
Eti Mani na Esma mambo mmeyamaliza
Inamkera mziza, no, no, no
Mlitegemea kuniona mimi na Nenga tukiendelea
Mambo yamebadilika na simwoni tena
Ila namwombea
Mlitegemea Fahima na Ray, wakiendelea
Mambo yamebadilika yaliyofatia sisemi

#chorus
Uh-huh, new couple (weh, new couple)
Kila siku inazuka new couple (new couple)
Uh-huh, new couple (new couple, yeah)
Kila siku inazuka new couple (new couple, new couple, yeah)

#outro
Hm, yeah
Love doesn't asky, "Why?"
Let's love, enjoy and celebrate
Hey (The Mix Killer)
Kila siku inazuka new couple
It’s all about love (it's all about love...)

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Nandy

Autres artistes de Afrobeats