Ex Boyfriend

Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina
Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima

Nilishafuta namba zako nikachoma picha zako
Sikujali ulivyoliaa mbele ya mashoga zako
Nikasema uende zako nguo nikakutupiaaa
Na zaidi, uliuguza vidonda
Kwa vipigo, manyanyaso kila siku
Kwa mawazo ukakonda
Niko bize kucheat, nafungua zipu

Ulinibembeleza, nikakubeza
Unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza, miguu ya pwesa
Kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza
Wanaume wenye mali, wenye fedha

Sasa unajiweza, siweza kujikweza
Najutia nafasi kuipoteza leo aibu yangu
Ex Boyfriend ex Boyfriend
Ex Boyfriend

Siitwi tena honey, baby jina langu limekuwa
Ex Boyfriend ex Boyfriend
Ex Boyfriend
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua ohhh

Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki
Sura ya baba na kitambi cha makasi
Sasa una mtanashati bitozi tena smati
Mtu wa gyme tena ana six park
Me nipo juu ya bati, sina mikakati
Geto mwendo chai na chapati
Nous ushahama mburahati una nyumba masaki
Soirée Unachoma Nyama Kila Siku

Ushanipiga mikuli aah
Insta mi sifurukuti aah
Mambo ya gauni suti aah
Mkifanya photoshoot aah
Mapenzi hayana komando
Mwenzako inaniuma roho natamani nikwite njoo
Turudi kama bifooo

Kumbe shepu ilijificha kwenye dera
Hizo skini jinsi mama zinakera
Utaniletea kadi kwenye machela
Siku akikuvalisha shera

Na Ulinibembeleza, nikakubeza
Unanuka na nikakutelekeza
Macho makengeza, miguu ya pwesa
Kuwa nawe nikamesa niliteleza
Leo unapendeza, wamekutengeneza
Wanaume wenye mali, wenye fedha

Sasa unajiweza, siweza kujikweza
Najutia nafasi kuipoteza leo aibu yangu
Ex petit ami ex petit ami
Ex petit ami

Siitwi tena miel, bébé jina langu limekuwa
Ex petit ami ex petit ami
Ex petit ami
Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Rayvanny

Autres artistes de Afrobeats