Mbeleko

Wasafi!
Hummm!

Alisemanga dunia
Ina mapambo yake
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake
Nimezunguka aah nimefika kwake
Siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake
Rabana, kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
Hata mama, kakusifu sana kitofauti na wale, Wajana
Kule nilizama
Tafadhali niokoe mamama
Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza
Jiachie tu nikubebe eeh

Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata

Koleza motoo tupike tembele
Kisamvu cha nazi njegere
Sisi kutishe kelele sikwachi
Linda na shamba wasije ngedere
Kuku niitee kwa muchelee
Mii sipigani na wewe
Mi nati
Ndio maana kwako nimezama
Sitaki mi wanitoe mama ma
Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
Jiachie tu nikube eeh

Jiachie tu nikubebe
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Rayvanny

Autres artistes de Afrobeats