My Babe

Aii jamani mbona umenikaa kichwani

Umenipa kitu gani baby wangu

Hadi natamani nikufiche chumbani

Wasikuone visirani baby wangu

Nililia kwa mwenyezi akayaona machozi

Kanipa wewe kipenzi kipenzi

Ntaimba na tenzi nikutulize laazizi

Maana kwako am dead oooh am dead

Amenishika kanikamata

Mwambieni shemeji yenu apunguze raha

Huba shata shata nanenepa

Mwambieni shemeji yenu apunguze raha

My sweet sweet babe huyeah

You are my baby

Sweet sweet babe onana

You are my babe

My sweet sweet babe huyeah

You are my baby

Sweet sweet babe onana

You are my babe

Oooh oooh

Ulikuwa rafiki ukawa mpenzi

Sasa ni rafiki tunaefanya mapenzi

Kwako niko rеal sio kama na-pretend no!

Yani toka tuna dhiki sasa tuna chenji

Nina kupongеza umevumloa mengi

Chuki hazijengi kugombana siwezi no

Babe you teach me how to love

You teach me how to care

And forever I’ll be there for you uuuh

Mtoto unawakawaka

Mtoto umetakata kata mrembo

Nililia kwa mwenyezi akayaona machozi

Kanipa wewe kipenzi kipenzi

Ntaimba na tenzi nikutulize laazizi

Maana kwako am dead oooh am dead

Amenishika kanikamata

Mwambieni shemeji yenu apunguze raha

Huba shata shata nanenepa

Mwambieni shemeji yenu apunguze raha

My sweet sweet babe huyeah

You are my baby

Sweet sweet babe onana

You are my babe

My sweet sweet babe huyeah

You are my baby

Sweet sweet babe onana

You are my babe

Oooh oooh

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Rayvanny

Autres artistes de Afrobeats