Inatosha

Mmmm
Yeeeee
Hata kama penzi ni maji masafi niacheni nanawaa
Mana yamenifika yamenifika hapaa
Ingawa ntakonda
Nimeridhia sawaa
Mana kila dakika
Me wakilionii
Kukikucha macho juu
Nakesha kulilia penzi ee
Kama kinda nlokosa mama ee mama e

Afu shida so heshima tuu
Hata wanaomwingia wengi (eee)
Mwenzenu kupenda nishakata tama ee tama eee
We acha itabaki kuwa historia japo sio kiroho safi
Na ya nini kun'gan'gania biashara
Tena yenye hasara
Na wala sisemi ntakuchukua japo moyoo hautaki
Na ya nini kun'gan'gana n'gan'gana

Mmm
Inatoshaa
Inatoshaa
Inatosha
Inatosha
Inatosha

Ni kwamba moyo mashine na iman ntapoa
Ihali sio ya kudumu naimani ntapoaa
Ni kwamba tumeumbwa kusahau naiman ntasahau
Ihali sio ya kudumu nitakusahau
Kama kukupenda si ilishindikana sawa sina chaguo
Mana japo itanisumbua sumbua itaniumbua umbua
Muchanga
Kwenye kitumbua tumbua kwenye kitumbua tumbua
We acha itabaki kuwa historia
Japo sio kiroho safi
Na ya nini kun'gan'gania biashara
Tena yenye hasara
Na wala sisemi ntakuchukia japo moyo hautaki

Na yanini kun'gan'gana n'gan'gana
Inatosha
Acha nipambane na hali yanguu
Inatosha
Ooo
Mapenz ya kupanda kushuka basi
Mmmm utaniua
Inatosha
Mmm utaniua nwenzako mieee
Inatoshaa
And the Good work has been done people Remix killer

Chansons les plus populaires [artist_preposition] Marioo

Autres artistes de