Leo Leo
African Princess Nandy
Boss ya Mboka.
(Kimambo on the beats)
My sweet coco
Penzi kidani nitunzie
Nakesha popo
Kulinda vidanga visiibie
Nadeka mwali, ka mtoto
Nidekeze mie, baikoko
Mi wa halali
Chanda chema mie
Wanichanganya changanya
Changanya wanikosha roho wouwo
Changanya wanikosha roho wouwo
Wanichanganya changanya
Changanya wanikosha roho wouwo
Changanya
Usije moto kuzima
Mwenzako nishawasha ah leo leo
Usije moto kuzima
Mwenzako nishawasha ah leo leo
Usije moto kuzima
Mwenzako nishawasha ah leo leo
Usije moto kuzima
Mwenzako nishawasha ah leo leo